Taratibu zetu katika kuwahudumia wateja
wetu katika manunuzi ya bidhaa. Kwanza mteja
anatakiwa kuwasiliana nasi tuweze kujua bidhaa ambazo anahitaji. Pili ni kujua
mteja wetu mahali alipo ili tuweze kutathmini gharama zitakazo tumika
kumfikishia bidhaa yake/ zake, hii ni kwa wateja wetu wa muda mrefu (Wateja
hawa upatiwa huduma kwa malipo ya robo tatu ya gharama ya bidhaa unayohitaji na
kisha kumalizia malipo yanayobaki mara tu baada ya kufikishiwa bidhaa zao/
yako. Tatu mteja kutupatia mwenyeji wake ama yeye mwenyewe kuja dukani ili
aweze kuchagua bidhaa anayohitaji na kuichukua, hii ni huduma kwa wateja wa
aina zote wateja wenyeji na wateja wachanga kulingana na mawazo ya mteja
mwenyewe. Nne hatutaweza kufanya biashara na mteja/ wateja kwa njia ya simu tu bali
tutahitaji kuonana na mteja mwenyewe ama mwakilishi wake katika suala zima la
malipo na makabidhiano ya bidhaa husika. Tunatoa huduma zetu kwa mfumo huu
mpaka tutakapo kamirisha taratibu za kuweka wawakilishi wetu katika maeneo
walipo wateja wetu. Ili tuweze kumfikia mteja
wetu mambo ya kuzingatia.
1. Namba halisi ya mteja ama mwakilishi wa
mteja.
2. Sehemu mteja alipo.
3. Aina ya bidhaa anayohitaji mteja.
4. Makubaliano ya bei ya bidhaa.
5. Kipindi mteja anachohitaji kupata bidhaa yake.
Utaratibu
wa mauziano ya bidhaa tafadhali wasiliana nasi kwa namba 0759425825. Email: jamessabbi_2011@hotmail.com.
Website: www.jamessabbicomputerclass.blogsport.com.
Website: www.jamessabbicomputerclass.blogsport.com.
TUNAPATIKANA MWANZA NA BARIADI
0 comments:
New comments are not allowed.